maana hata hii picha nilipopigwa wala sikumbuki na hata aliyenipiga pia simkumbuki japo sehemu naikumbuka,ama kweli usingizi hauna ujanja tena unaweza kukuahibisha hivihivi.
loooo huo ndo ubaya wa kuvaa suti za kuazima.kwanza inaonekana kabisa ni ovasaizi.
ReplyDeleteshaurido we sinzia utakula makofi.