hii ni sehemu abiria wanaosafiri ndani ya nchi katika kiwanja cha ndege cha kimataifa cha J.K Nyerere intaneshno eapot,kinachonishangaza sana ni sehemu za kukaa abiria,zimekwenda wapi?maana ni sehemu chache tu ndio zina vikalio na nyingi hakuna kabisa.
Concentrate to the things that could give information to the people.
ReplyDeleteI could give my own opinion with your topic that is not boring for me.
ReplyDeleteNaona wamevipeleka majumbani mwao, nauli yote tunayolipa bado hata viti hapo Airport hakuna
ReplyDeleteMama
UK