HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 16, 2008

Ujenzi Wa Maghorofa


"Wanakijiji wenzangu,Naomba tuelimishane. Sijawahi kuona jengo la ghorofa nne katika mikoa ya Iringa, Mbeya na hata Ruvuma. Pichani jengo hilo linajengwa Iringa. Llina ghorofa zaidi ya tatu. Hivi ni kwanini mikoa hii haina majengo ya ghorofa zaidi ya tatu? Utaratibu uko vipi?"hilo ndilo swali analouliza kaka Maggid Mjengwa kwa wanaohusika na maswala hayo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad