Rais JK naona uzalendo ulimshinda mahala alipokuwa akiangalia mechi ya Staz kutoka na mchezo waliouonyesha,maana aliingia uwanjani wakati wa haftaim.inapendeza sana kuona kiongozi wetu akiwa bega kwa bega na vijana wake.
No comments:
Post a Comment