HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 18, 2008

Nyundozz

sasa hivi kila aliye mkazi maeneo ya mjini ujue anaishi kwa matumaini,maana kila kunavyokucha na ndio idadi ya nyumba zinazokula nyundo zinaongezeka ili kupisha ujenzi wa makwangua anga.sijui ikianza kuzuka uswazi kwetu itakuwaje?

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad