HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 23, 2008

Nani Huyu?

si mbaya iwapo siku mojamoja tukawa tunajikumbusha mambo yaliyopita,na leo nimewaletea picha ya mtu aliyewahi kuwa maarufu sana kipindi kirefu kilichopita katika bara la Africa kama si Dunia.je kuna anaemkumbuka kwa jina mtu huyu?

2 comments:

  1. His Excellency, President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular

    Magere, nimepita hapa

    ReplyDelete
  2. Idd Amin. Naona Mugabr naye kesha fikia hatua aliyofikia huyu bwana...

    Mama Malaika

    ReplyDelete

Post Bottom Ad