HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 9, 2008

Namtafuta Diwani Wa Eneo Hili

namtafuta Diwani wa eneo hili ili nimpongeze kwa jitihada zake za kupendezesha barabara za mitaa yake,ambapo kwa upande mmoja ni kama muonavyo na upande mwingine ni mazalio ndege wadogo kuliko wote a.k.a mbu.

2 comments:

  1. wewe huyo diwani ukimpata utamfanyeje??
    au unajishaua tu hapo...ulikua unapita mitaa kuiba videm vya watu unasingizia kumtafuta diwani.

    ReplyDelete
  2. Ulikuwa unammendea mtoto wa mtu huko, si bure! Au ndo mtoto wa diwani unamnyatia??

    ReplyDelete

Post Bottom Ad