HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 30, 2008

Mabadiliko Ya Anuani Ya Michuzi Blog

WADAU WATUKUFU KUNRADHI,
KUTOKANA NA MABADILIKO MAKUBWA YANAYOTARAJIWA KUFANYIKA HIVI KARIBUNI ILI KUENDELEZA LIBENEKE KWA MAMBO MAPYA (i.e VIDEO CLIPS NA MAPICHA YA KAWAIDA KWA WINGI), GLOBU YENU YA JAMII IKO NJIA MOJA KUJA NA ANUANI MPYA AMBAYO
ITAIRITHI HII YA issamichuzi.blogspot.com.
HIVYO BASI, KUANZIA JUMATANO IJAYO YAANI JULAI 2, 2008 ANUANI YA GLOBU HII YA JAMII ITAKUWA

http://www.michuzi-blog.com/
MAMBO YOTE YATABAKIA KAMA YALIVYO KATIKA MUONEKANO NA LIBENEKE LA KUTUMA NA KUSOMA MAONI PAMOJA NA MAPICHA NA HABARI ZA LEO LEO LITAENDELEA KAMA KAWAIDA.
KWA LUGHA INGINE NI KWAMBA KINACHOFUATA NI AWAMU YA PILI YA GLOBU YA JAMII AMBAPO PAMOJA NA HABARI NA PICHA ZA MNATO TUTAPATA PIA VIDEO ZA MATUKIO MBALIMBALI YA BONGO NA KWINGINEKO. PIA LIBENEKE LA SALAMU KWA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI PAMOJA NA MISAADA KWENYE MATUTA PIA LITAENDELEA, WALA MSIKONDE.
NAWASHUKURU WADAU WOTE KWA MICHANGO YENU KUBWA LIKIWA NI PAMOJA NA KUTEMBELEA GLOBU HII YA JAMII KILA SIKU. NAAHIDI KUENDELEA KUWALETEA PICHA NA HABARI ZA JAMII KAMA KAWAIDA HUKU NIKIHESHIMU NA KUTHAMINI MCHANGO WA KILA MMOJA.
NAKARIBISHA MAONI NA USHAURI ILI KUFANIKISHA AWAMU HII IJAYO...
NAOMBA KUWASILISHA
LIBENEKE OYEE!
- MICHUZI

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad