NAOMBENI RADHI WADAU WANGU KWA KUTOKUWEPO HEWANI KWA KIPINDI CHA KAMA SIKU TATU HIVI,KWANI SIKUWEPO JIJINI KWA SIKU ZOTE HIZO,LAKINI KUANZIA SASA MAMBO YATAENDELEA KUWA KAMA ILIVYO KUWA HAPO AWALI KWANI NIMESHARUDI JIJINI NA LIBENEKE LITAENDELEA KAMA KAWA.
MICHUZI JUNIOR-2
Pole na safari kaka!
ReplyDeletethat's really cute..wish i had one too.
ReplyDeletehongera kwa kupanda ndege,
ReplyDeletenadhan leo utaota usiku.