HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 14, 2008

Kila La Kheri Taifa Stazz

Leo timu yetu ya Taifa (Taifa Stazz) inaingia dimbani kumenyana na na timu ya Taifa ya Cameroun,kwa hiyo inatakiwa kila mtanzania aiombee dua timu yetu hii ya Taifa.

Mungu ibariki Tanzania,
Mungu ibariki Timu yetu Ya Taifa,
Mungu wabariki na wachezaji wetu wote,
Ushindi daima.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad