hii ndio Boeing 737 ya Precision Air tuliyotumia kwenda nayo kule jiji linaloongoza kwa kuwa na samaki watamu kuliko wote nchini kwetu.
Yutarets! kasagad bah!
ReplyDeleteyap big up sana precision
ReplyDeletenawaaminia sana hawa waendelee hivyo hivyo.
they have good flight n good service.