Ndizi zikiwa zinaandaliwa na wananchi kwa ajili ya kuuza kwa walanguzi katika Maeneo ya Lugombo tukuyu mkoani Mbeya juzi, mkungu Mmoja huuzwa kati ya sh 1,500 na 3,000. Picha hii imepigwa na kaka Mpoki Bukuku aliyoko Mbeya kwa sasa.
Thanks to the blog owner. What a blog! nice idea.
ReplyDelete