posta mpya siku hizi kuna wamachinga na biashara za kila aina,ilimaradi uwe na hela yako ya kutosha tu.na sio kuku tu hata ukitaka ng'ombe unapata hapa posta mpya siku hizi.
Duh... itabidi nikija bongo nifike huko sio kujificha Bagamoyo Rd siku zote.
ReplyDelete