mtoto ambaye umri wake unaonekana dhahili kuwa anapaswa kuwa shule wakati huu,lakini anaonekana akiwa mitaani akiuza mahindi ya kuchemsha kwa ajili ya kumsaidia mzazi wake,sasa anasoma muda gani?
No comments:
Post a Comment