JAMANI NAOMBENI MSAADA WA JIBU LA SWALI NILILOTANDIKWA MAANA NIMECHEMKA NA KUJIFANYA KUVUNGA KWA KUSEMA NIKO BIZE KWA SASA KWA HIYO NITAMJIBU BAADAE,SASA SWALI LENYEWE NI HIVI,ETI KATI YA KUKU NA YAI KIPI KILITANGULIA KUJA DUNIANI?
No comments:
Post a Comment