
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi akiongoza sala ya Maiti ya kumsalia Marehemu Mzee Juma Omar Juma Mume wa Naibu waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Mh. Mauwa Daftari aliyefariki dunuia usiku kuamkia leo nyumbani kwake Mtaa wa Bongoyo Oysterbay jijini Dar. wa kwanza shoto ni Makamu mwa Rais Dk. Ali Mohamed Shein.

Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein akimfariji Naibu Waziri wa Mawasiliani Sayansi na Teknoloji Mh. Mauwa Daftari aliyefiliwa na Mumewe huko Nyumbani kwake Oysterbay Dar.picha na habari toka kwa mkuu
Issa Michuzi.
Duh... pole sana. Mungu amrehemu
ReplyDelete