Mkuu wa jeshi la Polisi Nchini,Inspekta General Saidi Mwema ametangaza mabadiliko katika jeshi hilo na kumteua Kamanda wa Polisi Mkoani Mbeya Afande Suleiman Kova Kuwa Kamanda wa Mpya wa Polisi Mkoani Dar es Salaam kuchukua nafasi ya Kamanda wa sasa Alfred Tibaigana.ambaye anastaafu mwezi julai Mwaka huu.
Katika mabadiliko haya,Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kinondoni,Jamal Rwambow anahamishiwa Mwanza huku nafasi yake ikichukuliwa na Mark Kalunguyeye kutoka kanda maalum Dar es Salaam.
Mwema alisema kamanda wa Polisi wa Mara,Kamishna Msaidizi wa Polisi David Saibullu anastaafu ambapo nafasi yake itachukuliwa na Kamishna Msaidizi wa Polisi,Liberatus Barlow aliyekuwa Afisa Nadhimu Utawala na Fedha kanda maalum Dar es Salaam.
Wengine katika uhamisho huo ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza,Zelothe Stephen anayekwenda Mbeya,Ray Karama kutoka FFU kanda maalum Dar es Salaam anakuwa Kamanda wa kikosi cha kuzuia wezi wa mifugo makao makuu Arusha na kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera Abdallah Msika anayehamishiwa Makao makuu ya polisi Dar es Salaam huku nafasi yake inashikwa na kamanda wa Polisi Pwani,Andrew Salewi na A Mwakyoma anatoka makao makuu ya polisi Dar es Salaam anamamishiwa kuwa kamanda wa Polisi Pwani.
Kamanda wa Polisi wa Tabora,Muhidin Mshihiri anahamishiwa makao makuu ya upelelezi huku Emson Mmari anatoka makao makuu ya upelelezi anakwenda kuwa Kamanda wa Polisi Tabora. Lucas Kusima anatoka Baraza la Ulinzi na Usalama anakwenda makao makuu huku nafasi yake ikichukuliwa na Brown Lekey anayetoka makao makuu ya upelelezi.
IGP Mwema alisema kuwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Dodoma Marry Nzuki anakwenda kuwa kaimu Kamanda wa Polisi Tazara na Lucy Makelemo kutoka Mkuu wa Polisi wa kituo cha Airport Mwanza kuwa staff ofisa 1 Dar es Salaam.
Alitaja nafasi zinazochukuliwa na maafisa wengine baada ya wa zamani kustaafu kuwa ni Msato Marijani aliyekuwa Mkuu wa polisi wa wilaya ya Biharamulo anayekwenda kuwa ofisa Upelelezi wa Mkoa wa Kigoma na Mkuu wa polisi wa Central Dar es Salaam,Deusdit Kato anayekwenda kuwa ofisa Upelelezi wa Mkoa wa Mara.

Yugs, daw nabasahan ko naman ni sa iban nga blog?
ReplyDelete