
kundi zima la wana akudo impact ambao leo wanazindua albam yao ya kwanza inayokwenda kwa jina la IMPACT.

na huku wazee wa ngwasuma leo wanafanya besdei yao ya kuwa pamoja kwa kipindi kirefu.sasa kimweo kiko hapo,maana mpaka sasa sijui niende wapi na niache wapi,yaani hapa ndio patamu kweli.
Mimi nilibahatika kwenda Akudo, sikujutia uamuzi wangu! Nilipekecha hadi kuchee!
ReplyDeleteLeila