
msela akisukuma kokoteni lililosheheni lundo la makopo ya maji yaliyotumika,makopo hayo ambayo kuna watu wanayanunua kwa kupima kwa kilo kwa kiasi cha shilingi 250/= hadi 300/= kwa kilo.shughuli hii ya kuzunguka kwa kuokota makopo haya,inafanywa na vijana wengi kwa lengo la kujitafutia rizki kwa njia ya halali kabisa.
If im in the situation of the owner of this blog. I dont know how to post this kind of topic. he has a nice idea.
ReplyDelete