HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 2, 2008

Atc Washusha Airbus A320

dege la airbus A320 la atc lilitotua dar wikiendi hii tayari kwa kuboressha huduma za shirika hilo. dege hilo ambalo limekodishwa kutoka kampuni ya wallice trading company ya ufaransa ina uwezo wa kubeba abiria 150. ofisa mtendaji mkuu wa atc mh. David Mataka amesema ndege hiyo itaanza na safari za dar-johannesburg kila siku kukidhi mahitaji ya njia hiyo na kwamba baada ya muda mfupi itaanza safari ya dubai.kwa hisani ya Michuzi blog

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad