HATIMAYE BAADA YA KUBANA KWA MUDA MREFU SERIKALI IMEAMUA KUUACHIA UWANJA MPYA WA TAIFA JIJINI DAR KWA MATUMIZI YA NYUMBANI.
AKIONGEA LEO HUKO DODOMA WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI NA MICHEZO KEPTENI MSTAAFU GEORGE MKUCHIKA AMESEMA PAMOJA NA KWAMBA NESHNO HIYO MPYA HAIJAISHA ZAWA SAWA, HASA SEHEMU ZA KUKIMBILIA, HAKUNA JINSI BALI KUUFUNGUA ILI TAIFASTAAZ ICHEZE MICHEZO YAKE YA KIMATAIFA ILIYO MBELE YAKE IKIWA NI DHIDI YA MAURITIUS, CAPE VERDE NA CAMEROUN
.MH. MKUCHIKA AMESEMA UWANJA HUO NDIO PEKEE AMBAO UMEPITISHWA NA FIFA KUWA UNAFAA KWA MECHI ZA KIMATAIFA, HIVYO HAKUNA UJANJA ISIPOKUWA KUUFUNGUA NA KUUTUMIA.
UWANJA HUU, AMBAO UMEJENGWA KWA MSAADA WA JAMHURI YA WATU WA CHINA KWA VIJISENTI TAKRIBAN BILIONI 57, ILIKUWA UFUNGULIWE TOKA JULAI MWAKA JANA, LAKINI KUTOKANA NA KUTOKAMILIKA BAADHI YA UJENZI UKAWA UMEDODA. HABARI NDIYO HIYO.MENGI ZAIDI ZAMA HAPA

No comments:
Post a Comment