hivi ndivyo ilivyokuwa siku ya mechi ya yanga na manyema,mechi ilibidi iahirishe hadi watakapo panga tena.na yanga ilikuwa ianongoza kwa bao 3-1.kimbembe ni pale yanga watakapo fungwa mechi ijayo,sijui itakuwaje
No comments:
Post a Comment