HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, April 11, 2008

Leo Ndio Leo Wa Kesho Muongo



leo ndio leo asemae kesho ni muongo,ndani ya ukumbi wa diamond jubilee holi kutawashwa moto usizimika baada ya chama mbili za kutoka sehemu moja kukuta katika mpambano wa mkali nani.mimi sijui mkali nani ila nitaenda kujionea mwenyewe.picha kutoka kwa mkuu ahmad michuzi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad