bongo mafuta bei juu ile mbaya sasa na hawa jamaa ili wapate faida katika uendeshaji wa shughuli zao basi ni lazima waende mpaka mafuta yatakapo kata ndipo na wao wanaweka mengine.du kaazi kwelikweli
No comments:
Post a Comment