HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 8, 2008

Karibuni Katika Kijiwe kipya Cha Fotobaraza


Fotobaraza ni jamii ya wapenda picha na wapenda soga, wazungumzao Kiswahili, waliosambaa ulimwenguni mwote. Jamii inaunganishwa na tovuti ya fotobaraza. Ili kujua zaidi na hata kujiunga katika kijiwe hiki waweza zama humu
na hii ni moja kati ya picha zilizomo katika kijiwe hicho kipya,karibuni sana

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad