
Habari zilizozagaa ndani ya jiji la ya Dar ndani ya muda huu mfupi ni kuwa Kepteni Mstaafu, Mzee Ditopile Ukiwaona Mwinshehe Ramadhan Wa Mzuzuri ambaye alikuwa pia Mkuu Wa Mkoa wa Tabora, amefariki dunia ghafla. Inaelezwa kuwa alifariki ghafla asubuhi hii mjini Morogoro ambako alipumzika kuanzia jana akitokea Dodoma. Tunawatakia wote walioguswa na msiba huu na Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, Amin.picha na habari kwa hisani ya fotobaraza.ning.com
No comments:
Post a Comment