ukisikia bongo tambalale usije fikiria ni masihara,hebu mcheki msela huyu ni dereva taxi na hapo sio kama ni nyumbani kwake mjue,hapo ni kijiweni akisubiria watu asiokuwa na mihadi nao(wateja)
No comments:
Post a Comment