NDUGU WADAU WA BLOG YETU HII,NAPENDA KUTANGUKIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KWA KUNIVUMILIA KWA KIPINDI KIREFU AMBACHO NILISIMAMA KUBLOG KUTOKANA NA SABABU ILIZOKUWA NJE YA UWEZO WANGU,LAKINI KWA MAAJIWA YA MUNGU NIMERUDI TENA HEWANI KWA NGUVU ZOTE NA PIA NAOMBA KUTOA FURSA KWA YEYOTE ATAKAYEPENDA KUTUMIA BLOG HII YA WANYAMBALA KWA KUTUMA EIDHA PICHA ZA AINA YEYOTE,SALAM,KUHITAJI MSAADA WOWOTE KUTOKA KWA WACHANGIAJI/WATEMBELEAJI WA BLOG HII.WAWEZA KINITUMIA KUPITIA jamiothman@gmail.com.
AHSANTENI NA KARIBUNI KATIKA UJENZI WA TAIFA LETU
WASALAM
No comments:
Post a Comment