HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 3, 2008

Jengo La Ushirika Lawaka Moto

jamaa akiangalia kwa uchovu wa hali ya juu jinsi eneo kubwa la jengo la ushirika lilivyoteketea kwa moto ulioanza kuwaka jana usiku mpaka asubuhi ya leo.kwa mujibu wa redio mbao ni kwamba moto huo ulisababishwa na kale kaugonjwa ketu kasiku zote ka hawa ndugu tanesko na kusababisha hasara kama hizi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad