HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 24, 2008

Ajari Samora



ajari mbaya imetokea leo mchanakatika makutano ya barabara ya morogoro rd na samora av,baada ya gari mbili kugongana na moja kupinduka na kusababisha watu wawili kupatwa na majeraha na kufanyiwa utaratibua wa kuwahishwa hospital,chanzo cha ajari kinasemekana kuwa mwenye gari nyekundu alijisahau nakujua kuwa yupo kwenye njia kubwa na wakati yupo katika njia ndogo

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad