rais Bush akiwa kaketi katika benchi la hospital ya wilaya meru mjini arusha,huku akimsikiliza kwa makini doctr wa watoto wa hospital mapema leo asubuhi rais Bush akipeana mkono na mtoto leo asubuhi alipotembelea hospital ya wilaya ya meru
No comments:
Post a Comment