MH RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,MH JAKAYA KIKWETE ANATARAJIA KUMUAPISHA WAZIRI MKUU MPYA WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MH,MIZENGO KAYANZA PETER PINDA,KUWA NDIYE ATAKAYEONGOZA NCHI YETU KATIKA NGWE ILIYOBAKIA BAADA YA ALIYEKUWA WAZIRI MKUU MH, EDWARD LOWASA KUJIUZURU KUTOKANA NA SAKATA ZIMA LA KAMPUNI YA RICHMOND.KWA TAARIFA ZAIDI JUU YA KUAPISHWA KWA WAZIRI MKUU MPYA TUTAJULISHANA BAADAE
Saturday, February 9, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment