waislam wa dar na maeneo ya jirana na jiji wameandamana kupinga ujio wa rais wa marekani Geogre W. Bush.maandamano hayo yalianza mara tu baada ya swala ya ijumaa ya leo hii
No comments:
Post a Comment