HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, February 29, 2008

Lainizz

biashara ya laini za simu za mikononi zimekuwa zikiuzwa kwa mafungu kama nyanya vile,laini za tigo unazipata kwa 500/=na za vodakom unazipata kwa 200/=tu.amakweli biashara mashindano!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad