bongo siku hizi ni maghorofa kwa kwenda mbele,yaani kila kukicha zile nyumba za zamani zinabomolewa na kupisha zamu ya majumba ya kisasa zaidi na yanayokwenda juu zaidi a.k.a maghorofa.kwa mwendo huu bongo mambo yatazidi kuwa tambararee
No comments:
Post a Comment