HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, February 4, 2008

Kidebe

dereva wa daladala akiweka mafuta kwenye gari lake,mara baada ya gari hilo kukata mafuta katikati ya barabara.tabia hii kwa madereva hawa imekuwa ni ya kawaida sana kwao kwa madai kuwa wanapima ulaji wa mafuta kwenye magari yao.kaaaziii kweli kweli

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad