kutokana na ripoti iliyosomwa jana na Mh.Dr Mwakyembe.inasemekana kuwa waziri mkuu Mh.Lowasa ameandiki barua kwa Rais ya kutaka kujiuzuru,na mpaka sasa bunge limeahirishwa mpaka saa kumi na moja jioni leo hii.
No comments:
Post a Comment