HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, February 12, 2008

Baraza Jipya La Mawaziri

KABLA HAJATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI,RAIS JK AMESEMA VIONGOZI WA MUDA MREFU WAMEOMBA KUPUMZIKA AMBAO NI:

1. JOSEPH MUNGAI

2. KINGUNGE NGOMBALE

MWIRUBARAZA LENYEWE NI:

1. OFISI YA RAIS (UTAWALA BORA) SOFIA SIMBA

2.OFISI YA RAIS (MENEJIMENTI YA UMMA) HAWA GHASIA

3. SHUGHULI ZA MUUNGANO MOHAMED SEIF KHATIB

4. WIZARA YA UTALII NA MAZINGIRA DK. BATILDA BURIANI

5. WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS (SERA NA URATIBU WA BUNGE) PHILIP MARMO

6. WIZARA YA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA STEVEN WASIRA

7. WIZARA YA FEDHA MH. MKURO NA MANAIBU NI JEREMIH SUMARI NA OMARI YUSUF MZEE

8. WIZARA YA AFYA PROFESA DAVID MWAKYUSA NAIBU NI AISHA KIGODA

9. WIZARA YA ARDHI JOHN CHILIGATI

10. ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI PROFESA JUMANNE MAGHEMBE NAIBU GAUDENSIA KABKA

11. SAYANSI SHUKURU KAWAMBA NAIBU NI DK. MAUA DAFTRI

12. MIUNDO MBINU ANDREW CHENGE NA DK. MAKONGORE MAHANGA

14. UTAMADUNI NA MICHEZO GEORGE MKUCHIKA NAIBU JOEL BENDERA

15. KAZI NA AJIRA POFESA JUMA KAPUYA NA HEZEKIEA CHIBULUNJE

16. WIZARA YA MAJI PROFESA MARK MWANDOSYA NAIBU CHIZA

17. WIZARA YA KILIMO NA CHAKULA MATHAYO DAVID MATHAYO

18. WIZARA YA MENDELO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO MARGARETH SITTA NAIBU NI MAMA NKYA

19. WIZARA YA UVUVI NA MIFUGO POMBE MAGHUFULI NA MANAIBU NI SHASMSA MWANGUGA NA EZEKIEL MAIGE

20. WIZARA YA MAMBO YA NDANI MH. MASHA NAIBU NI HAMISI KAGASHEKI

21. WIZARA YA MAMBO YA NJE MEMBE NAIBU SEIF ALI IDDI

22. WIZARA YA NISHATI NA MADINI WILLIAM NGELEJA NA NAIBU ADAM MALIMA

23. WIZARA YA SHERIA MH. CHIKAWE

24. WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA DK. HUSSEIN MWINYI NA NAIBU EMANUEL NCHIMBI

25. WIZARA YA AFRIKA MASHARIKI DK. E. KAMALA

26. WIZARA YA BISHARA DK. MARY NAGU NAIBU CYRIL CHAMI

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad