mambo baadae yakawa hivi na kusababisha kujeruhiwa kwa watu wa tatu na kukimbizwa hospital kwa matibabu. hivi nyumba inapotaka kubomolewa si inatakiwa kuwekwa alama ya X kisha baada ya muda ndio ibomolewe?hii imewekwa siku hiyo hiyo na kubomolewa wakati huo huo.huu ni uungwana kweli?
No comments:
Post a Comment