naona ukarabati wa barabara ya Nyerere rodi umepamba moto,hii ni kutokana na ugeni mkubwa unaokuja bongo mwezi wa february wa rais wa marekani mh Bush.picha kwa hisani ya kaka Mpoki a.k.a Mzee wa sumo
No comments:
Post a Comment