.jpg)
kutokana na ufinyu wa sehemu za kuegesha magari hapa taun,kunasababisha hawa jamaa wa site waweze kujipatia mshiko kila wanapokuta gari ambalo limeegeshwa ndivyo sivyo kama hivi.heri yangu mimi ninatumia bajaji ya kizenz mambo kama haya nayasikia kwenye bomba
No comments:
Post a Comment