sheli hii iliyopo maeneo ya tabata muslim,inatakiwa kula nyundo ili kupisha eneo lililo tengwa na serekeli kwa ajili ya soko la tabata.hivi wakati inajengwa hii sheli haikujulikana kwamba hili ni eneo lilikuwa limetengwa kwa ajili ya soko?
No comments:
Post a Comment