hii ilikuwa ni siku niliyopewa dhamana ya kufungua hiki kinywaji kwa ajilia ya maharusi,nasikia ya kwamba kile kifuniko kinaporu kitakaye mdondokea na yeye yuko jirani kuukimbia ukapera ni kweli?tusaidiane kwa anayefahamu masela wangu
No comments:
Post a Comment