HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 3, 2008

Msaada Kwa Watoto Yatima

balozi wa palestina hapa nchini mh.Yusouf Habab akiwa amempakia katika moja ya baiskeli zilizotolewa kama msaada kwa watoto yatima na wale wenye v.v.u,mwanamitindo kutoka nyumba ya mitindo Tanzania,dada Asia Adarous walipokuwa idara ya habari maelezo leo hii
hapa mh.Yosouf Habab akizungumza na waandishi wa habari kuwa ataandaa chakula cha mchana ifikapo tarehe 19 january na kuwaalika watoto yatima na waishio na virusi vya ukimwi wapatao 30 nyumbani pale nyumbani kwake masaki.picha kwa hicani ya jiachie blog


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad