wamachinga waliotimuliwa katika soko la kariakoo na kutakiwa kuchukua nafasi katika eneo lililotengwa na halmashauri ya manispaa ya ilala wakisikilizia majia yao tayari kwa kukabidhiwa sehemu za biashara maeneo ya tabata muslim.
No comments:
Post a Comment