serekali kila siku inapiga kelele juu ya kuwafanyisha kazi watoto wenye umri wa kwenda shule lakini naona yanaingilia kulia na kutokea kushoto.watanzania wenzangu naomba tuliangalie sana swala hili kwani hili ni taifa la kesho kutwa.
No comments:
Post a Comment