HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 7, 2008

Ajari Kariakoo

dereva wa daladala akibishana na mwendesa baiskeli baada ya kumgonga na kujifanya yeye ndiye mwenye haki,dereva huyo ambaye alikuwa akiwahi katika sheli ya big bon iliyopo maeneo kariakoo mtaa wa msimbazi ili isije kuzima katikati ya barabara na kusababisha kitu kama hiki.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad