kaji kamera kangu kalibahatika kukutana na hawa watoto wakiwa wamejiachia juu ya mti huku wakisema kuwa hilo ni pozi la kufungia mwaka.sasa sijui ukikatika itakuwaje?
No comments:
Post a Comment