ukiona watu wengi wamekusanyika katika sehemu moja maeneo ya uswazi basi ujue mahala hapo kuna mnuso yaani namaanisha kuna maakuli,eidha kuna hitima au harusi.hivi ndivyo tunavyoishi huku uswazi kwetu.
No comments:
Post a Comment