idd hii ni ya kuchinja kutokana na maandiko ya mwenyezi mungu,sasa huyu bwana nae kaja na staili yake ya kuchinja akiwa amejifunga khanga huku akisema kuwa hiyo nayo ni sunna,je imo hiyo masela wangu?
No comments:
Post a Comment